ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 09/01/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-01-09

Просмотров: 5344

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 09/01/2026

UJUMBE WA LEO : "JARIBU LA KIUCHUMI"

Wakorintho 10:13
Mwanzo 41 : 53 - 57
Mwanzo 47 : 18 - 22
1 Wafalme 17 : 10 - 16
Daniel 9 : 22
Isaya 43 : 4

Mungu anakupa AKILI
ili upate KUFAHAMU juu ya Mambo yafuatayo:

(a) Jinsi ikupasavyo kuenenda eneo la UCHUMI katika MAJIRA tuliyonayo.

(b) Kujua cha KUOMBA na namna ya KUOMBA.

MAMBO YA KUZINGATIA KWA MWANA WA MUNGU ILI KUVUKA SALAMA KWENYE JARIBU LA UCHUMI KATIKA MAJIRA TULIYOPO.
1. Awe na MAARIFA SAHIHI eneo la UCHUMI Kimajira na HEKIMA na AKILI.

2. Atafute sana KUSIKIA, KUELEWA, KUKUBALI na KUTII NENO LA UFALME
(La MAELEKEZO binafsi)
linalotumwa na Bwana kwake.
a. Njia Mojawapo ambayo Mungu hutumia Kuachilia msaada wake kwa Mwanae ni kwa Kulituma NENO LAKE.
b. Ili Kuvuka lazima USIKIE, UELEWE, UKUBALI NA KUTII NENO la maelekezo Binafsi kwako.
c. Mifano ya watu kwenye Biblia.

IBRAHIMU

Mifano ya watu kwenye Biblia.

ISAKA

PETRO

i) Petro na wenzake kwenye Eneo la Uvuvi alipitia JARIBU LA KICHUMI
(Kutokupata Kitu Usiku Kucha)

ii) Yesu alitokea na Kumtaka Petro atoe Sadaka ya Chombo Chake ili Ahubirie.

iii) NENO la Maelekezo Binafsi kwa Petro lilitoka na Petro Akasikia, Akaelewa, Akakubali na Kutii.

iv) Petro alipoliweka NENO kwenye Matendo ALIPATA (Mungu alibariki Uchumi wake)

v) Mafanikio yanayotoka Kwa Mungu lazima yakuvute kwa Mungu kwa Toba na Kunyenyekea ANAPOKUPA na UKAPATA

1 Wakorintho 10 : 13

13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.

Mwanzo 41 : 53 - 57
53 Miaka ile saba ya shibe ikaisha katika nchi ya Misri,

54 ikaanza kuja miaka ile saba ya njaa, kama vile Yusufu alivyosema. Kukawa na njaa katika nchi zote, bali katika nchi yote ya Misri palikuwa na chakula.

55 Na nchi yote ya Misri ilipoona njaa, watu walimlilia Farao awape chakula. Farao akawaambia Wamisri wote, Enendeni kwa Yusufu; atakavyowaambia, fanyeni.

56 Njaa ikawa katika dunia yote pia. Yusufu akazifungua ghala zote, akawauzia Wamisri. Njaa ikawa nzito katika nchi ya Misri.

57 Watu wa nchi zote wakaja Misri kwa Yusufu; ili wanunue nafaka; kwa sababu njaa imekuwa nzito katika dunia yote.

Mwanzo 47 : 18 - 22

18 Na mwaka ule ulipokwisha wakamjia mwaka wa pili, wakamwambia, Hatumfichi bwana wetu ya kwamba fedha zetu zimekwisha, na makundi ya wanyama ni mali ya bwana wetu, hakikusalia kitu mbele ya bwana wetu, ila miili yetu na nchi zetu.

19 Kwa nini tufe mbele ya macho yako, sisi na nchi yetu? Utununue sisi na nchi yetu kwa chakula, na sisi na nchi yetu tutakuwa watumwa wa Farao; kisha utupe mbegu, tuishi wala tusife, wala nchi yetu isipotee.

20 Basi Yusufu akamnunulia Farao nchi yote ya Misri; maana Wamisri waliuza kila mtu shamba lake; kwa sababu njaa ilikuwa imewazidi sana, nchi ikawa mali yake Farao.

21 Akawahamisha hao watu, akawaweka katika miji, tangu upande huu wa Misri hata upande huu.

22 Ila nchi ya makuhani hakuinunua; maana makuhani walikuwa na posho yao kutoka kwa Farao, wakala posho yao waliyopewa na Farao. Kwa hiyo hawakuuza nchi yao.

Daniel 9 : 22
22 Akaniagiza, akaongea nami, akasema, Ee Danieli, nimetokea sasa, ili nikupe akili upate kufahamu.

1 Wafalme 17 : 10 - 16
AGENDA MUHIMU ZA MAOMBI

1. Omba USO WA BWANA uende pamoja nawe.
2. Omba Mungu akupe MAARIFA sahihi maeneo yafuatayo:
Eneo la Kuomba
Eneo la Kupigana Vita vya Kiroho
Eneo la UCHUMI Kimajira

3. Omba Mungu aingilie Kati VITA YA UCHUMI iliyopo na HATUA Zilizochukuliwa/Zinazochukuliwa/Zitakazochukuliwa na Ngazi mbali mbali KIUCHUMI.
4. Omba Mungu akupe Kujua na ufanye atakavyo pale anapotaka kutumia SADAKA kukuvusha kwenye JARIBU LA KIUCHUMI
5. Omba Mungu akutenge na watu wasio sahihi na Kukuunganisha/Kukupa Watu sahihi kwenye maisha yako.

6. Shughulikia maroho ya yanayotumiwa na Liroho la UMASKINI kushambulia Uchumi.
Maroho ya Magonjwa
Maroho ya Yezebel
Maroho ya Kukataliwa
-Maroho ya Vibarua

Mhubiri: Mwl . Eng. Goodluck Mushi

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 09/01/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

♓️ РЫБЫ ♓ 12 - 18 ЯНВАРЯ 2026 ТАРО ПРОГНОЗ + КАРТА ДНЯ 💫 ГОРОСКОП 💫 ТАРОЛОГ АНАСТАСИЯ

♓️ РЫБЫ ♓ 12 - 18 ЯНВАРЯ 2026 ТАРО ПРОГНОЗ + КАРТА ДНЯ 💫 ГОРОСКОП 💫 ТАРОЛОГ АНАСТАСИЯ

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/01/2026

Kampeni za uchaguzi zapamba moto Uganda. Katika Dira ya Dunia TV

Kampeni za uchaguzi zapamba moto Uganda. Katika Dira ya Dunia TV

Paul Clement ft Pastor Fred Msungu - Ahadi ( Official Video )

Paul Clement ft Pastor Fred Msungu - Ahadi ( Official Video )

A-Z PADRE mwanajeshi HENRY RIMISHO aweka MAZITO HADHARANI, CHUO KIKUU CHA ARDHI

A-Z PADRE mwanajeshi HENRY RIMISHO aweka MAZITO HADHARANI, CHUO KIKUU CHA ARDHI

DAY 3 SEMINA YA NENO NA MAOMBEZI NA MWL AMBWENE MWASONGWE

DAY 3 SEMINA YA NENO NA MAOMBEZI NA MWL AMBWENE MWASONGWE

KAMA WEWE NI MTU SMART HIVI NDIVYO UNATAKIWA UUANZE MWAKA 2026  ~ Nondo Zitakazokupa Mwanzo Mkuu

KAMA WEWE NI MTU SMART HIVI NDIVYO UNATAKIWA UUANZE MWAKA 2026 ~ Nondo Zitakazokupa Mwanzo Mkuu

"MABADILIKO YA NDANI" (INNER CHANGES) / REV. DR.ELIONA KIMARO

Запомните! Все болезни из-за ВОСПАЛЕНИЯ кишечника! Об этом молчат врачи. Наталья Кэмпбелл-МакБрайд

Запомните! Все болезни из-за ВОСПАЛЕНИЯ кишечника! Об этом молчат врачи. Наталья Кэмпбелл-МакБрайд

DJ MZITO MZIKI MZITO VOL 21 SWAHILI  WORSHIP PRAYER MIX

DJ MZITO MZIKI MZITO VOL 21 SWAHILI WORSHIP PRAYER MIX

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 12/01/2026

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

MAPYA YAIBUKA SAKATA LA 'WAKATOLIKI' WALIOENDA UBALOZI WA VATICAN/ NAOMI  AJITOKEZA KUKANUSHA...

MAPYA YAIBUKA SAKATA LA 'WAKATOLIKI' WALIOENDA UBALOZI WA VATICAN/ NAOMI AJITOKEZA KUKANUSHA...

ДНК АРМЯН: Они — ПОТЕРЯННЫЕ ЕВРОПЕЙЦЫ? Ученые в шоке от гаплогруппы R1b!

ДНК АРМЯН: Они — ПОТЕРЯННЫЕ ЕВРОПЕЙЦЫ? Ученые в шоке от гаплогруппы R1b!

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 11/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 11/01/2026

MAAMUZI JUU YA FEDHA YANAVYOAMUA KUFANIKIWA AU KUTOKUFANIKIWA KWA MALENGO YAKO // MWL C MWAKASEGE.

MAAMUZI JUU YA FEDHA YANAVYOAMUA KUFANIKIWA AU KUTOKUFANIKIWA KWA MALENGO YAKO // MWL C MWAKASEGE.

Командир Мулиро скрывается после того, как Рэйчел Дангва раскрыла свою личность. Он скрывается по...

Командир Мулиро скрывается после того, как Рэйчел Дангва раскрыла свою личность. Он скрывается по...

KWA NEEMA HII UTAFANYA HATA YALE YASIYOWEZEKANA MWAKA HUU ! Rev. Eliona Kimaro (Part 1)

KWA NEEMA HII UTAFANYA HATA YALE YASIYOWEZEKANA MWAKA HUU ! Rev. Eliona Kimaro (Part 1)

IBADA YA MKESHA

IBADA YA MKESHA

JIFUNZE KUSIKIA SAUTI YA MUNGU

JIFUNZE KUSIKIA SAUTI YA MUNGU

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]