UKWELI KUHUSU UCHAWI WA JAMAL APRIL WA THE STORYBOOK WASAFI MEDIA|DODOMA|RADI IBRAHIM NUHU|
Автор: Radi Ibrahim Nuhu
Загружено: 2021-09-15
Просмотров: 140104
Описание:
UKWELI WA SIRI 7 ZA MAZINGAOMBWE’|UKWELI KUHUSU TRICK YA JAMAL APRIL
Kati ya fani zinazohitajji ujuzi na sio kukurupuka ni mazingaombwe, mara nyingi wana mazingaombwe huonekana wakifanya vitu visivyowezekana katika ulimwengu wa uhalisia, je unajua jinsi ya kupindisha kijiko kwa kukitazama,kutembea juu ya maji au wajua jinsi ya kupaaa kama ndege, si kitu kirahisi kutumia akili bila miujiza na kufanya kila mtu aamini kuwa umetumia uchawi na endapo ukiwa huna ujuzi wa kutosha unaweza kukosea na kwa baadhi ya trick mfano ya kumeza panga unaweza hata kupoteza uhai wako.
kupitia video hii utajua siri ya kinachofanyika na labda unaweza nawe ukaja kuwa mmoja kati ya wana mazingaombwe
Leo katika Radi Ibrahim Nuhu tutachambua na kukufahamisha trick maarufu 7 zilizoshangaza watu wengi kwa miaka mingi, ikiwemo trick ya Michael Jackson inayoitwa antigravity lean pamoja na trick maarufu iitwayo levitation aliyowahi kufanya jamal april na kukuelezea ni kitu gani kinachofanyika kwani ukweli ni kuwa ulichokiona si uchawi na wala hakipo kama ulivyofikiri.
#radiibrahim #ibrahimnuhu #sendtip 0784869051 #jamalapril
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: