39. Utangulizi wa Objects kwenye JavaScript | Jifunze Kwa Urahisi
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-10-14
Просмотров: 84
Описание:
Unataka kuelewa kwa urahisi Object ni nini kwenye JavaScript na jinsi zinavyofanya kazi? 💡
Katika video hii utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza, kubadilisha, kufuta, na kufikia properties ndani ya Objects. Pia utaona nested objects na methods kwa mifano halisi ya kila siku.
Ni sehemu ya mfululizo wa mafunzo ya “JavaScript Basics” kwa wanaoanza.
Usisahau like 👍, comment 💬, na subscribe 🔔 ili uendelee kupata video mpya za kujifunza JavaScript kila wiki!
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱Jiunge na Whatsapp Group letu:
https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#javascript #objects #swahilicoding
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: