PICHA ZA DRONE: MUONEKANO BARABARA ZA MJI WA SERIKALI DODOMA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-06-16
Просмотров: 25495
Описание:
Ujenzi wa barabara kilomita 51.2 unaojengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Serikali MAGUFULI CITY uliopo mtumba jijini Dodoma umefika asilimia 70 na mkataba wake ni shilingi bilioni 89.1 na marajio ya mradi ni julai 31 na barabara hizo zinatarajiwa kuwa na vituo 52 vya daladala
Katibu mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Profesa Riziki Shemdoe amelikataa ombi la mkandarasi la ongezeko la muda wa miezi 10 na amemuelekeza mkandarasi mshauri,wakala wa barabara mjini na Vijijini TARURA na meneja wa mradi aliyemteua kusimamia kwa hatua iliyosalia Mhandisi Gilbert Moga kupitia upya ombi hilo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: