🕋WAKFU YATOA ZAWADI YA KWENDA UMRA KWA WAFANYAKAZI BORA🕋.
Автор: WAKFU ONLINE TV
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 60
Описание: 🕋Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana imewazawadia safari ya Umra wafanyakazi wake bora kama sehemu ya kutambua na kuthamini juhudi, uadilifu na mchango wao katika kuimarisha huduma kwa jamii. Zawadi hii ni ishara ya pongezi na motisha kwa wafanyakazi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa bidii, uwajibikaji na hofu ya Mwenyezi Mungu, sambamba na kuendeleza maadili ya utumishi bora ndani ya taasisi. Hatua hii pia inalenga kuhamasisha ari ya kazi na kujenga mshikamano miongoni mwa watendaji wa Kamisheni.🕋.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: