Salome Makamba: Kwa nini Mnaweka Faini Kubwa I Spika wa Bunge Ambana Salome I Amtaka Atoe Ufafanuzi
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2022-09-15
Просмотров: 592
Описание:
#WekaManeno Muswada wa Sheria marekebisho ya usimamizi wa rasimali za Maji ya mwaka 2022 [The Water Resource Management (Amendment) ACT, 2022] uliendelea kuchangiwa Bungeni, Wabunge mbalimbali walipata nafasi ya kuchangia muswada huo, ambapo Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Salome Makamba aliomba katika muswada huo kifungu cha 10 ameomba kifutwe/kiondolewe kwa kubainisha sababu zake.
Suala hilo lilimfanya Mwenyekiti (Spika) Dkt. Tulia Ackson, kumtaka mchangiaji Mhe. Salome Makamba, atolee ufafanuzi zaidi hasa kwenye matumizi gani ya Maji ambayo anaona hayana athari ya Mtu kutumia zaidi ya kibali.
Baada ya Wabunge kukubaliana na mabadiliko ya Sheria ya usimamizi wa rasilimali za Maji ya mwaka 2022 ambayo yanalenga kuongeza ulinzi na usimamizi wa rasilimali hizo hapa nchini, Bunge limepitisha mabadiliko hayo.
Mjadala huu tumekuwekea kwenye akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media”
#Fiesta2022 #MchongoFiesta
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: