WIMBO WA BIBI HARUSI KUAGA WAZAZI SIKU YA SEND OFF
Автор: Rutwizo Video
Загружено: 2024-09-25
Просмотров: 2587
Описание: Huu ni wimbo wa bibi harusi mtarajiwa alio uimba siku ya send off ikiwa ni wimbo wa kuwaaga wazazi baba na mama pamoja na wachungaji, ndugu zake wote na majirani wote, ni wimbo mzuri wenye ujumbe mzito na wenye kusisimua, wakati wimbo huu ukiimbwa mama mzazi wa bibi harusi alishindwa kunizuia kwa muda mfupi tu alitokwa na machozi muda mfupi tena bibi harusi alianza kulia huku akiwaza kwenda kuyaanza maisha nakukaribisha utazame video hii mpaka mwisho ujionee matukio yote hayo ndani ya wimbo huu. Usisahau ku Subscribe, Like na Comment katika channel hii ya Rutwizo Video.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: