KIBADA KIGAMBONI MJI WA MATAJIRI UNAOKUA KWA KASI ZAIDI DAR 🇹🇿
Автор: Navigator Chinduli🇹🇿
Загружено: 2024-12-29
Просмотров: 2130
Описание:
KIBADA KIGAMBONI ni miongoni mwa miji midogo inayopatikana katika wilaya ya kigamboni jijini Dar es salaam, mji huu ulijizolea umaarufu kutokana na uwepo wa embe tamu kiasi cha kusifika kila pahala ndani na nje ya Dar es salaam, wakazi wenyeji wa mji huu ni wandengereko na wazaramo huku na huko walikuwa wakijihusisha na kilimo cha mihogo, Nazi na uvuvi katika bahari ya Hindi.
Leo nipo hapa kukuonesha kwa kina machache miongoni mwa mengi yanayopatikana hapa cha msingi USISAHAU KUSUBSCRIBE KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE video izidi kwenda mbali zaidi.
#simbasc, #travel, #smartphone, #africa, #mobilephone, #samsungiphone#yangasc #ibiza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: