Gen Yas Talk-Business Edition with Obeid, Absa Bank MD
Автор: Yas Tanzania
Загружено: 2025-11-21
Просмотров: 249159
Описание:
Je unajua sifa kuu 3 za kuwa CEO?
Tunakukaribisha tena kwenye Gen Yas Talk - Business Edition na leo tuko na Obedi Laiser, Managing Director wa Absa Bank.
🎥 Tumia wikiendi hii kwenda Youtube, search Yas Tanzania ukatazame hii episode inayoelezea sifa za kuwa kiongozi bora na mwenye kujenga utamaduni unaowezesha timu yako kufanya kazi kwa viwango vya juu kila siku. Kisha rudi utuambie ulichojifunza kwenye comments.
Sisi ni mshirika sahihi wa Watanzania.
#GenYasTalk #BusinessEdition
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: