Elimu ya Ugonjwa wa Kifafa: Mtazamo Katika Jamii, Kutambuliwa na Matibabu
Автор: Amref Health Africa (Tanzania)
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 74
Описание:
Ungana na wataalamu wetu Mary Ngowa, Dkt Dan Bwhana na Fides Uiso wakijadili kwa kina kuhusu Mtazamo Katika Jamii, Kutambuliwa na Matibabu ya Ugonjwa wa Kifafa kupitia mjadala huu unaolenga kuongeza uelewa katika jamii juu ya ugonjwa wa kifafa, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Kifafa Duniani inayofanyika kila mwaka ifikapo tarehe 9 Februari.
Amref Tanzania kwa kushirikiana na serikali ya #Tanzania na wadau mbalimbali inaendelea kuunga mkono juhudi za kuboresha huduma za magonjwa mbalimbali ikiwemo kifafa.
Kwa maoni na ushauri, tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii. Pia unaweza kutufuatilia kupitia tovuti yetu; https://amref.org
#AmrefTanzania #Kifafa #Epilepsy #EpilepsySupport #Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: