ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Wananchi wa Afrika Mashariki walalamikia bajeti mpya za nchi zao | VOA Swahili

Автор: VOA Swahili

Загружено: 2024-06-24

Просмотров: 3809

Описание: Wananchi wengi wa Afrika Mashariki walalamika dhidi ya bajeti zilizotangazwa zikiwa na ongezeko la kodi na ushuru kwa bidhaa muhimu katika nchi hizo

VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.

Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.

Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI

»Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/
»Upende ukurasa wetu wa Facebook:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika Instagram:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika X:   / voaswahili  
»Tufuatilie katika YouTube:    / @voaswahili  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Wananchi  wa Afrika Mashariki walalamikia bajeti mpya za nchi zao | VOA Swahili

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Լուրեր 21:00 | Հայր Գուսանի վճռական քայլով վերահաստատվում է ճշմարտությունը.ՀԱԵ բարենորոգման խորհուրդ

Լուրեր 21:00 | Հայր Գուսանի վճռական քայլով վերահաստատվում է ճշմարտությունը.ՀԱԵ բարենորոգման խորհուրդ

Duniani Leo

Duniani Leo

This West African Country Shocked Me - Safe, Clean, Organised, Developed - Cotonou, Benin 🇧🇯

This West African Country Shocked Me - Safe, Clean, Organised, Developed - Cotonou, Benin 🇧🇯

Duniani Leo 07/02/2024

Duniani Leo 07/02/2024

SETH OLALE'S NEW SHOW ON CITIZEN TV; A WEBISODE COURSE PROJECT 2025

SETH OLALE'S NEW SHOW ON CITIZEN TV; A WEBISODE COURSE PROJECT 2025

Athari za mikopo kwa nchi masikini barani Afrika

Athari za mikopo kwa nchi masikini barani Afrika

Новый шок от Трампа: США задержали два танкера

Новый шок от Трампа: США задержали два танкера "теневого флота" России

Duniani Leo 06-19-2024

Duniani Leo 06-19-2024

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

BBC SWAHILI HABARI ZA ULIMWENGU LEO JUMATANO JIONI..

BBC SWAHILI HABARI ZA ULIMWENGU LEO JUMATANO JIONI..

Duniani Leo 06-27-2024

Duniani Leo 06-27-2024

🔥Трамп СОРВАЛСЯ В ЭФИРЕ! Вашингтон ВЫСМЕЯЛ Путина ПУБЛИЧНО. В Кремле СРОЧНО ДАЛИ ЗАДНЮЮ

🔥Трамп СОРВАЛСЯ В ЭФИРЕ! Вашингтон ВЫСМЕЯЛ Путина ПУБЛИЧНО. В Кремле СРОЧНО ДАЛИ ЗАДНЮЮ

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

ՄԵՀՐԱԲՅԱՆ ONLINE I 07 Հունվար , 2026

ՄԵՀՐԱԲՅԱՆ ONLINE I 07 Հունվար , 2026

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 09/07/2024

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 09/07/2024

Wafanyabiasha Kariakoo wagoma kwa kufunga maduka

Wafanyabiasha Kariakoo wagoma kwa kufunga maduka

Невероятные ТАЙНЫ горы АРАРАТ в Армении.

Невероятные ТАЙНЫ горы АРАРАТ в Армении.

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Места на Земле, которые кажутся нереальными! Чудеса планеты!

Места на Земле, которые кажутся нереальными! Чудеса планеты!

Вот почему евреи богатеют, а вы нет! Пять правил, о которых молчат

Вот почему евреи богатеют, а вы нет! Пять правил, о которых молчат

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]