WAZIRI MKUU AKIKAGUA KIWANDA CHA VIFUNGASHIO TANGA
Автор: Tanga Tanzania TV
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 2323
Описание:
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea kiwanda cha kutengeneza vifungashio cha Yogi Poly Pack na kusisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha uzalishaji wa ndani ili kukuza uchumi wa Taifa.
Akizungumza mara baada ya kukagua shughuli za uzalishaji kiwandani hapo, Waziri Mkuu amesema hakuna sababu ya kuagiza kutoka nje bidhaa ambazo zinazalishwa kwa ubora hapa nchini. Amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wa ndani ili viwanda viweze kuongeza uzalishaji na ajira kwa Watanzania. #tanga_tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: