#BREAKING
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-03-28
Просмотров: 41324
Описание:
#BREAKING: AJALI MBAYA! MABASI ya SAULI na NEW FORCE YAGONGANA na LORI la MAFUTA -VIFO VIMETOKEA...
Taarifa zilizotufikia kwenye chumba chetu Cha habari Cha GLOBAL TV hii Leo Machi 28, 2024 zinaeleza kwamba mabasi mawili na lori la mafuta yamegongana eneo la Ruvu mkoani Pwani na kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo kutokana na moto mkubwa uliozuka wakati wa ajali hiyo.
Watu zaidi wanahisiwa kupoteza maisha kwenye ajali hiyo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda, ajali hiyo ilitokea alfajiri ya leo ikihusisha mabasi mawili ya Sauli na New Force ambayo kwa pamoja yamegongana na lori hilo la mafuta.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Global TV...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: