Delia Malinzi - NENO MOJA ( official Music Video)
Автор: Delia Malinzi
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 1957
Описание:
ZABURI 27:1-4
"BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? BWANA ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka. Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hapo nitatumainia BWANA. Neno moja nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni mwake."
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: