MAKAA YA MAWE YANAHITAJIKA KWA WINGI DUNIANI, MBUNGE MBINGA VIJIJINI
Автор: Wizara ya Madini
Загружено: 2022-11-13
Просмотров: 1132
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga amesema Makaa ya Mawe yanahitajika kwa wingi duniani kwa sasa.
Amesema Serikali itumie fursa hiyo kuhakikisha wilaya inapata faida ya uwepo wa migodi kwa kutoa ajira na kuleta maendeleo kwa jamii zinazozunguka mgodi hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: