Sakramenti ni nini??Zijue Sakramenti 7 za kanisa Katoliki.
Автор: Mamake Phoebe Mkatoliki
Загружено: 2025-04-02
Просмотров: 1900
Описание:
#Sakramenti #KanisaKatoliki #Imani #Sakramenti7 #Ukristo #Dini #ElimuYaKikristo #Kanisa #Katoliki #Ubatizo #Kipaimara #Ekaristi #Kitubio #MpakoWaWagonjwa #DarajaTakatifu #Ndoa
Sakramenti ni nini? Katika video hii, tunajadili maana ya sakramenti, idadi yake katika Kanisa Katoliki, makundi yake matatu, na sakramenti zinazotolewa mara moja tu. Fahamu zaidi kuhusu imani yako na umuhimu wa sakramenti katika maisha ya Mkristo.
Mambo Utakayojifunza:
✅ Maana ya sakramenti
✅ Sakramenti 7 za Kanisa Katoliki
✅ Makundi matatu ya sakramenti
✅ Sakramenti unazopokea mara moja maishani
Usisahau:
✔️ Kupenda video hii (Like)
✔️ Kushiriki na marafiki (Share)
✔️ Kujisajili kwa mafunzo zaidi (Subscribe)
👉 Jiunge nasi kwa safari ya imani!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: