Tanzania Yawaka Moto! Kauli Za Wasanii Zazua Hasira Mpya Kwa Mashabiki
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 30507
Описание:
Tanzania yawaka moto tena kwenye mitandao! Kauli mpya kutoka kwa wasanii kama Harmonize, Alikiba na Ben Pol zimezua mjadala mkubwa baada ya mashabiki kutangaza boycott dhidi ya muziki wa Bongo Fleva.
Katika video hii ninakuonesha kila kauli, kila video, na chanzo cha mgogoro kati ya wasanii na mashabiki—ikiwemo ujumbe mkali wa mashabiki kwa Majjizo, ambaye kwa siku kadhaa amekuwa akiomba radhi kwa niaba ya wasanii.
🔴 Je, wasanii wamekosea?
🔵 Au mashabiki ndio wamekwenda mbali?
🔥 Nini kinaendelea kwenye tasnia ya muziki Tanzania?
Hapa Mizuka Media tunachambua kwa kina siasa za muziki, migogoro ya wasanii, nguvu ya mashabiki, na drama zote zinazotikisa Tanzania na Kenya kwa sasa.
Kama video hii imekufungua macho, usisahau kulike, kusubscribe na kushare ili habari ziwafikie Watanzania na Wakenya waliopo ndani na nje ya nchi (diaspora).
#TanzaniaYawakaMoto
#WasaniiVsMashabiki
#BongoFlevaNews
#MizukaMedia
#TrendingTanzania
#KenyaNaTanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: