🔹 Mfumo Bora wa Matokeo kwa Shule za O-Level | RST System 2025
Автор: DB Tech
Загружено: 2025-11-20
Просмотров: 3077
Описание:
Olevel RST System 2025 ni app rahisi na ya kitaalamu kwa ajili ya kuandaa matokeo ya mitihani ya O-Level.
Kupitia mfumo huu unaweza:
✔ Kutengeneza matokeo ya mitihani yoyote
✔ Kuchagua darasa lolote
✔ Kuweka mitihani ipi ihusike kwenye ripoti za wazazi
✔ Kupata ripoti zilizo tayari kuchapishwa kwa ubora wa juu
Mfumo huu umeundwa kusaidia walimu kufanya kazi kwa haraka, kwa usahihi na bila makosa.
👉 Wasiliana kupata App (Olevel RST System 2025): 0752 073 410
👉 Karibu uboreshe utayarishaji wa matokeo katika shule yako!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: