MZEE MPILI AUAWA KWA KUPIGWA NA MWANAYE KISA TAMAA YA MALI PWANI, KAMANDA AFUNGUKA.
Автор: RB MEDIA
Загружено: 2025-07-18
Просмотров: 173510
Описание:
Kijana Rajabu Musa Mkazi wa Mtaa wa Muheza, mjini Kibaha mkoani Pwani anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Hamis Said maarufu kama Mzee Mpili, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni tamaa ya kumiliki mali za familia.
Kwa mujibu wa mashuhuda, kabla ya kutekeleza tukio hilo, Rajabu alimpiga marehemu kwa ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili, kisha kumtumbukiza kwenye shimo la choo kilichopo jirani na makazi yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: