Bunge zima lazizima, Bahati Ndingo akichangia; Amnyooshea kidole Waziri Mabula, Taarifa zamiminika
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-05-25
Просмотров: 8672
Описание: Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Bahati Ndingo akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: