ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NHIF YALENGA KUGUSA KAYA ZISIZO NA UWEZO

Автор: ULANGA DC ONLINE

Загружено: 2026-03-02

Просмотров: 7

Описание: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imekuja na mpango wa 'Bima ya Afya kwa wote' ambapo kupitia mpango huo Serikali itazisajili kaya zisizo na uwezo na kuziwezesha kupata kadi za matibabu ambazo zitawawezesha kupata matibabu zaidi ya 300 kwa kutumia kadi za NHIF.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa zoezi la Bima ya Afya kwa wote Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mhe. Khamana Simba amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwajali Wananchi na kuwarahishia kupata huduma Bora za matibabu.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Mhe. Shafy Kanefuka amesema kuwa Bima ya Afya kwa wote ni miongoni mwa ahadi ambazo zilitolewa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Kampeni na ameitekeleza kwa vitendo hivyo ni fursa kwa Wananchi kujiandikisha na kupata matibabu kwa gharama nafuu.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga Ndg. Saida Mahugu amewaasa Wananchi kujiandikisha ili kupata bima ya Afya kwani kwa kufanya hivyo Watajihakikishia kupata matibabu wakati wote hata kwa nyakati ambazo fedha zimekosekana.

Mbali na kaya zisizo na uwezo, ikumbukwe Bima hiyo inahusisha Jumla ya wanakaya sita ambao watapata matibabu kwa kipindi cha Mwaka mzima kwa gharama ya shilingi laki moja na elfu hamsini.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NHIF YALENGA KUGUSA KAYA ZISIZO NA UWEZO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MWANAMKE NI MLEZI WA FAMILIA

MWANAMKE NI MLEZI WA FAMILIA

С оклеветанных бойцов

С оклеветанных бойцов "Коах 100" снято позорное обвинение, но привкус остался. #израиль

DIWANI KAPOLU ATATUA KERO YA MADAWATI S/MSINGI KAGERA AKEMEA MAKUNDI YA KISIASA KATA YA IKUNGUIGAZI.

DIWANI KAPOLU ATATUA KERO YA MADAWATI S/MSINGI KAGERA AKEMEA MAKUNDI YA KISIASA KATA YA IKUNGUIGAZI.

Нейрохирург:Туман в голове — не старость! 3 метода вернуть ясный ум за 15 минут | советы для пожилых

Нейрохирург:Туман в голове — не старость! 3 метода вернуть ясный ум за 15 минут | советы для пожилых

BUNGE LAPONGEZA MAFANIKIO YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO

BUNGE LAPONGEZA MAFANIKIO YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO

#TBC: TANZANIA YA KIJANI - UTAJIRI WA NYUKI WADOGO

#TBC: TANZANIA YA KIJANI - UTAJIRI WA NYUKI WADOGO

MASHAURI NA KESI ZIMEOMBWA KUTOKUCHUKUA MUDA MREFU MAHAKAMANI

MASHAURI NA KESI ZIMEOMBWA KUTOKUCHUKUA MUDA MREFU MAHAKAMANI

⚡Всему миру ПРИГОТОВИТЬСЯ! Тегеран УСТРОИЛ КАТАСТРОФУ. ПРОБИЛИ главный БУНКЕР Ирана? @i_gryanul_grem

⚡Всему миру ПРИГОТОВИТЬСЯ! Тегеран УСТРОИЛ КАТАСТРОФУ. ПРОБИЛИ главный БУНКЕР Ирана? @i_gryanul_grem

Nsekela,Serikali na Kaderes Wawamwagia wananchi miche bora ya kahawa

Nsekela,Serikali na Kaderes Wawamwagia wananchi miche bora ya kahawa

BILIONI 4 ZANUFAISHA WANAWAKE MKOA WA KATAVI

BILIONI 4 ZANUFAISHA WANAWAKE MKOA WA KATAVI

Maskani ya Mama Samia yafutarisha

Maskani ya Mama Samia yafutarisha

WATAKA KUPIGANA MAKONDE MBELE YA WAZIRI MKUU BAADA YA KUPEANA TALAKA MAHAKAMANI.

WATAKA KUPIGANA MAKONDE MBELE YA WAZIRI MKUU BAADA YA KUPEANA TALAKA MAHAKAMANI.

MHE. TANO MAKAMBALA AFANYA ZIARA KATA YA MKWESE KUONA MAENDELEO YA ELIMU,  (MAHUDHURIO/URIPOTI)

MHE. TANO MAKAMBALA AFANYA ZIARA KATA YA MKWESE KUONA MAENDELEO YA ELIMU, (MAHUDHURIO/URIPOTI)

FURSA ZIPO WAZI WANANCHI NA WAJASILIAMALI WOTE TUJITOKEZE KWA WINGI

FURSA ZIPO WAZI WANANCHI NA WAJASILIAMALI WOTE TUJITOKEZE KWA WINGI

100 Graczy Symuluje Średniowiecze w Minecraft

100 Graczy Symuluje Średniowiecze w Minecraft

MH MAJALIWA AFICHUA HAYA - ATAJA UWEZO WA JPM YUPO KWENYE MIOYO YETU - ALIKEMEA WEZI NA WALA RUSHWA

MH MAJALIWA AFICHUA HAYA - ATAJA UWEZO WA JPM YUPO KWENYE MIOYO YETU - ALIKEMEA WEZI NA WALA RUSHWA

"Budzimy się z ręką w nocniku". Mocny spór o przyszłość UE

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KUIMARISHA MAFUNZO YA AKILI UNDE NA SAYANSI YA DATA

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI KUIMARISHA MAFUNZO YA AKILI UNDE NA SAYANSI YA DATA

HISABATI NI MSINGI WA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

HISABATI NI MSINGI WA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

MAAZIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI MKOA WA LINDI 2026

MAAZIMISHO YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI MKOA WA LINDI 2026

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]