Uzuri wa jiji la Arusha ukisimuliwa na mtangazaji Gharib Mzinga
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-02-11
Просмотров: 1949
Описание:
Tazama uzuri wa jiji la Arusha kama inavyosimuliwa na mtangazaji wa kandanda @gharib_mzinga kabla ya kuitangaza mechi ya NBC Premier League kati ya Coastal Union dhidi ya JKT Tanzania.
Mechi hiyo ilichezwa Februari 7, 2025 katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha na matokeo yalikuwa 2-1.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: