JPM: "Johari Ningekuwa na Binti Ningekupa Uoe"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-09-16
Просмотров: 5303
Описание:
JPM: "Johari ni Johari Kweli katika kazi, Ningekuwa na Binti Ningekupa"
Rais Magufuli leo Septemba 16 amezindua Rada ya kuongozea ndege katika uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam pamoja na nyingine moja ya mkoani Kilimanjaro, ambapo huku Rada ya Mwanza na Songwe zilikiwa bado hazijakamilika, serikali imenunua Rada nne kwa shiling Bilion 67 kwaajilio yakulionda anga la Tanzania ambapo awali Serikali ilikuwa na Rada moja ambayo ilikuwa inaona asilimia 25 ya nchi nzima.
Aidha Rais Magufuli amechukua nafasi hiyo kumshukuru Mkurugenzi Mkuu TCAA wa Johari Hamza kwakuafanikisha kukamilika kwa mradi huo utakaofanikisha Anga la Tanzania kuonekana kwa asilimia mia moja ambapo pia ameahidi kumlipia Nauli kwaajili ya kwenda Hija.
#Rada
https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: