JINSI YA KUDHIBITI HISIA ZAKO KABISA - Emotional Intelligence
Автор: Endson Mabamba
Загружено: 2025-11-17
Просмотров: 656
Описание:
Watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana uwezo, wanashindwa kwa sababu hisia zao hazijatulia: hasira, woga, wivu, msongo, na maamuzi ya haraka. Katika video hii tunachambua mbinu sahihi za kudhibiti hisia kikamilifu, kwa kutumia misingi ya saikolojia na nidhamu ya akili.
Hapa utajifunza:
• Chanzo cha hisia kali na jinsi zinavyojengwa ndani ya ubongo
• Mbinu za kudhibiti hisia wakati zinalipuka
• Mazoea ya kila siku yanayokuweka stable emotionally
• Jinsi ya kutengeneza akili isiyotetereka kirahisi
• Njia za kubadilisha reaction kuwa control
Mtu anayejua kudhibiti hisia zake, hatishiwi na chochote.
#Hisia #Saikolojia #EmotionalControl #EmotionalIntelligence #MentalStrength #SelfAwareness #Mindset #CalmMind #MentalHealth #StressManagement #AnxietyRelief #PersonalGrowth #SelfDiscipline #LifeSkills #PsychologyTips #InnerPeace #Mindfulness #Motivation #LifeCoaching #HealingJourney #Stability #Overthinking #SelfImprovement #MindHealth #afyayaakili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: