TANZANIA KUNAZIDI KUWAKA! BAWACHA WAKERWA NA UNYANYASAJI WA UPINZANI
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2025-04-28
Просмотров: 7806
Описание: Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Rose John Mayemba, ameeleza kukerwa na anachokiita ni unyanyasaji wa wanasiasa wa upinzani ikiwemo kuendelea kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu na kupigwa kwa viongozi na wafuasi wa Chama hicho kupigwa walipokuwa wakienda kusikiliza kesi ya kiongozi wao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: