Spika wa Bunge AIME BOJI KUWASILI BUTEMBO
Автор: MTV1 ONLINE
Загружено: 2026-02-21
Просмотров: 260
Описание:
Spika wa Bunge la Congo DRC AIME BOJI azungumuza na wakaazi wa Mji wa Butembo baada ya Beni na Oicha .
wakaazi wa Mji wa Butembo waomba spika wa Bunge kumaliza uongozi wa kijeshi kwani uongozi huo umeshindwa kuhudimisha uaslama ukiwa hauna mabadiliko kwa wananchi ambao washuhudia mauaji ya mara ka wamara katika eneo za Beni na Lubero na sehemu Moja ya Ituri.
Malefu ya wakaazi wa Mji wa Butembo wasema kuwa wamechoshwa na ahadi za wanasiasa kinacho hitajika kwa sasa ni matendo kwani wamechoka kuwa wakimbizi katika taifa lao wengi wao waki kimbia vijiji vyao mvali mvali na wengine wakiteekwa na watu wanao dhaniwa kuwa ADF.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: