Wachungaji Hawasemi Hili Wazi! Ndoa Hujengwa na Vitu 2||pr.david mbaga
Автор: PrayGod Media
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 694
Описание:
Je, unajua kwamba ndoa nyingi zinavunjika si kwa sababu ya kukosa mapenzi… bali kwa kukosa misingi sahihi?
Katika somo hili muhimu sana, tunafunua ukweli mkubwa: NDOA Hujengwa na Vitu 2 Tu!
Watu wengi huingia kwenye ndoa kwa hisia, lakini hawajui nguzo zinazoshikilia ndoa imara, yenye amani na kudumu. Kama umeoa, umeolewa, una mpango wa kuoa au kuolewa – ujumbe huu ni wako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: