PRAISE TEAM TAG FOREST YA KWANZA FT JOEL LWAGA - BWANA WA MABWANA
Автор: TAG FOREST YA KWANZA PRAISE TEAM
Загружено: 2022-06-05
Просмотров: 105105
Описание:
#PraiseTeamTAGForestOne
Wimbo huu umeandaliwa na kuimbwa na Praise Team TAG forest ya Kwanza iliyopo jijini Mbeya kwa ushirikiano mkubwa na Joel Lwaga. Ni wimbo wakusifu na kumtukuza Mungu kwa kudhihirisha yeye ndiye BWANA WA MABWANA wote chini ya jua hili barikiwa sana, wakati unahudumiwa na ibada hii ya kusifu.
Audio by Samuel Mboya
Light by Allan light
Video by Steve Tobs Media
Sound by SSI Africa
Subtittles by Golden Mwakatobe
Saxphone by Donick Mwakatobe
Dickson Maige
©️2022 Altraniq Digital
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: