JITIHADA ZA WANANCHI KULIMA BARABARA YA BUSOKELO-MAKETE ZAUNGWA MKONO NA SERIKALI
Автор: MAWIO TZ
Загружено: 2022-07-06
Просмотров: 3025
Описание:
#Tanroads, #barabara , #Tarura, #road
Wananchi wa kata ya luteba walianza kuchonga barabara hii kwa mikono/kwa kutumia majembe na zana nyinginezo. Katika kuunga Mkono jitihada hizo Mbunge wa Busokelo Atupele Mwakibete aliahidi kulifikisha hitaji hilo serikali, ahadi ambayo Sasa Utekelezaji wake si ndoto tena Bali KAZI INAENDELEA!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: