Mgomo wafanyakazi waathiri safari za ndege kwa siku ya pili nchini
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 3395
Описание: Kwa siku ya pili wasafari wameendelea kutaabika katika uwanja wa jkia kufuatia mgomo wa wafanyikazi. Runinga ya citizen imethibitisha kuwa ndege za usafiri humu nchini na kutoka nje zimeathirika kufuatia mgomo huo huku wasafiri wakielezwa kusubiri kwa zaidi ya saa nne kabla ya kusafiri.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: