"MAGUFULI ALITAMKA MANENO MAZITO, ALIOMBA AJENGEWE MSIKITI, ISOMWE QUR'AN CHATO" SHEIKH KISHK
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-03-26
Просмотров: 22893
Описание:
Ikiwa leo ni siku ya Ijumaa, March 26 ambapo aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dr.John Pombe Magufuli amezikwa katika makaburi ya familia Chato mkoani Geita, Mkurugenzi wa Al Hikma Sheikh Nurdin Kishki ametoa ushuhuda kuhusu barua aliyomuandikia Hayati Magufuli pamoja na kutaka ujengwe msikiti Chato na isomwe Quran.
Sheikh Kishk ameyasema hayo leo wakati wa Ibada ya Swala ya Ijumaa maeneo ya Vetenary Dar es Salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: