KILA SIKU UGALI | Katuni za Kiswahili za Watoto Kenya | Swahili Nursery Rhyme
Автор: Edewcate Swahili
Загружено: 2018-12-01
Просмотров: 281542
Описание:
Burudika na Ubongo Kids - Hadithi za Watoto kwa Kiswahili:
Nyimbo lyrics:
Mama nipe mayai,
nimechoka na uji,
Kila siku ugali,
na kabichi nyeupe,
ninajua nitashikwa na kwashakoo,
ninajua nitashikwa na kwashakoo,
Mama nipe mayai,
nimechoka na uji,
Kila siku ugali,
na kabichi nyeupe,
ninajua nitashikwa na kwashakoo,
ninajua nitashikwa na kwashakoo,
Mama nipe mayai,
nimechoka na uji,
Kila siku ugali,
na kabichi nyeupe,
ninajua nitashikwa na kwashakoo,
ninajua nitashikwa na kwashakoo,
Mama nipe mayai,
nimechoka na uji,
Kila siku ugali,
na kabichi nyeupe,
ninajua nitashikwa na kwashakoo
ninajua nitashikwa na kwashakoo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: