MASHEIKH WAMEKOSEA UKWELI!KUHUSU NDOA NA AHLU KITAB,SHIRK,NA WAJIBU WA MZAZI
Автор: USTADH HUDHEIFA
Загружено: 2025-08-19
Просмотров: 724
Описание:
Video hii inawajibu baadhi ya masheikh waliopotosha maana ya Qur’an kuhusu mambo matatu muhimu:
1️⃣ Je, yafaa kuoa Ahlu Kitab?
Qur’an imehalalisha kuwaoa ahlu kitab na kuolewa na ahlu kitab
2️⃣ Maana ya shirk kwenye aya ya ndoa
Qur’an inaeleza wazi kuwa ndoa safi lazima iwe msingi wa tauhid, bila kumshirikisha Allah.
3️⃣ Mzazi hana dhima ya dhambi za mtoto baada ya kubaleghe
Kila nafsi inahisabiwa pekee yake kwa mujibu wa Qur’an (6:164, 17:15, 35:18).
👉 Huu ni mwongozo wa Qur’an kwa kila Muislamu. Tujifunze Qur’an moja kwa moja bila kupotoshwa na riwaya za mwanadamu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: