SIMULIZI YA MCHUNGAJI ANAYEISHI NA MAAMBUKIZI YA VVU KWA ZAIDI MIAKA 39
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-12-10
Просмотров: 3366
Описание: Geita. "Mume wangu alipoteza maisha 1998, mtoto wangu wa tatu akafa mwaka 1999 hali yangu ilikua mbaya sana mwili ulidhoofika, nikawa na upele kila mahali, nywele zote kichwani zilinyonyoka, kikawa kimejaa vidonda na nilikua natokewa na mkanda wa jeshi mara kwa mara hata sikuweza kumzika mwanangu." Ndivyo anavyoanza kusimulia Mchungaji, Ester Mhangwa wa Kanisa la TAG, lililopo Kijiji cha Chabulongo Kata ya Kasamwa Mjini Geita, anayeishi na VVU kwa miaka 39 huku akiendelea Iwamini katika nouva va dawa za kufubaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: