DUUH: Askari alivyovunja Bunduki, Waziri Lugola aagiza apandishwe cheo
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-09-21
Просмотров: 437029
Описание: Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Kangi Lugola amefurahishwa na Polisi aliyeonesha ukakamavu katika gwaride mkoani Kigoma ni baada ya yeye kuwasili katika Kituo kikubwa cha polisi na kupokelewa na RPC Kigoma kisha gwaride la polisi kuchezwa mbele yake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: