MAGUFULI: Rushwa Haitakuwa na Nafasi Katika Uongozi Wangu
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-03-12
Просмотров: 22099
Описание:
Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Dodoma unafanyika leo mjini Dodoma am,bapo Rais John Pombe Magufuli, amesema rushwa haitakuwa na nafasi kwenye chama hicho.
Rais Magufuli pia amependekeza ukumbi mpya wa mikutano wa chama hicho, upewe jina la jakaya Kikwete Hall kwa sababu yeye ndiye aliyesimamia ujenzi wake, jambo ambalo wajumbe wote walilikubali na kulipitisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: