POLISI WASEMA MFANYABIASHARA ALIYEKUWA AKITAFUTWA NA WENZAKE AMEFARIKI DUNIA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2020-10-03
Просмотров: 6691
Описание: Baadhi ya Wafanyabiashara wa madini ya Tanzanite na wakazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wameandama hadi kwenye lango la ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite wakimtaka ndugu yao Bernard Richadi (Kisauti) anayedaiwa kukamatwa akiwa na madini ya thamani ya sh1.5 milioni.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: