KIJANA AZINDUA GARI LISILOTUMIA MAFUTA WALA UMEME-ADAIWA KUDANGANYA- AZUA MJADALA MKUBWA-AITWA IKULU
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-02-02
Просмотров: 33039
Описание:
KIJANA AZINDUA GARI LISILOTUMIA MAFUTA WALA UMEME-ADAIWA KUDANGANYA- AZUA MJADALA MKUBWA-AITWA IKULU
#SungulaniMaxwellChikumbutso #zimbabwe #hypersonic
Zimbabwe inatarajia kuzindua gari lililopewa jina la Saith EV tarehe 10 Februari mwaka huu—gari linalojiendesha lenyewe, lenye kasi ya hadi kilomita 220 kwa saa na linalodaiwa kuwa na uwezo wa kutembea bila kikomo. Gari hili limeundwa na kijana mdogo wa Kiafrika kwa kushirikiana na kampuni ya Kichina na litagharimu dola 14,000, sawa na hela za Kibongo milioni 35 kwa kila moja. Rais Mnangagwa amelipongeza gari hili kuwa la kipekee duniani.
Mapema wiki hii, Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, alizindua aina mbili za magari pamoja na pikipiki moja yanayodaiwa kutumia chanzo cha nishati cha mapinduzi—teknolojia inayopingana na kanuni za fizikia ya kawaida. Hii ni teknolojia iliyotengenezwa na kampuni ya Saith Technologies. Mvumbuzi wa teknolojia hii, Maxwell Sangulani Chikumbutso mwenye umri wa miaka 44, anadai kuwa uvumbuzi wake hauhitaji mafuta wala betri, badala yake unatumia masafa ya redio kuzalisha nishati.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: