MAHAFARI YA KWANZA KIDATO CHA SITA IDETE NMB BANK WANOGESHA
Автор: CCM Tabora online TV
Загружено: 2022-03-13
Просмотров: 1001
Описание:
Shule ya Sekondari IDETE imefanya sherehe ya Mahafari ya kwanza kwa wahitimu wa kidato cha sita
Mkuu wa shule Mwl.PAUL MDAKI ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwanamna ilivyowezesha shule hiyo kimiundombinu amesema kila mwezi shule inapokea TSH milioni sita kwaajili ya gharama za uendesheji ikiwemo kuandalia mitihani , lakini pia ameomba wadau kujitokeza kusaidia kuondoa upungufu wa viti na meza kwani idadi ya wanafunzi kwa sasa ni zaidi ya Elfumoja
Akizungumza kwa niaba ya Meneja wa BANK ya NMB Tawi la Tabora NDG JOHN KIMARO amesema wao kama Bank wataleta Viti na Meza miamoja ilikukabilina na changamoto ya upungufu wa samani hizo hapo Shule
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: