Mwanamuziki wa Kalenjin Diana Chelele Musila azikwa kwao Kapkwen.
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2016-01-21
Просмотров: 64270
Описание:
Umati mkubwa ulifurika kumpa mkono wa buriani mwimbaji wa nyimbo za jamii ya kalenjin Diana Chemutai Musila almaarufu chelele katika sherehe iliyoandaliwa katika shule ya msingi ya Kapkwen kaunti ya Bomet. Mazishi ya mwendazake yaliwavutia wengi miongoni mwao viongozi wa bonde la ufa. Hata hivyo rabsha zilizuka kwenye hafla hiyo baada ya mashabiki kupita kiasi cha waliotarajiwa na kuwazidi maafisa wa usalama.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: