MAMBO MATANO KUHUSU UCHIMBAJI MADINI NICKEL TANZANIA
Автор: BizTV Tanzania
Загружено: 2021-01-19
Просмотров: 1270
Описание: Siku ya Januari 19, 2021 Rais John Pombe Magufuli alishuhudia jambo la kihistora -- utiaji saini wa mkataba wa uchimbaji wa madini ya Nickel kati ya wizara ya madini na kampuni ya LZ Nickel Limited uliofanyika Mkoani Kagera. Mradi wa mgodi wa Kabanga ni mradi ambao ulianza toka mwaka 1976. Lakini kutokana na changamoto mbalimbali, haukuweza kuanza rasmi hadi hivi sasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: