Скачать
HII YA SERUKAMBA NI KIBOKO YAO, HOJA ZAKE ZATIKISA MKUTANO, WANANCHI WAFUNGA BARABARA.
Автор: Kadi News24
Загружено: 2025-09-16
Просмотров: 1425
Описание:
Ni katika uzinduzi wa kampeni za CCM Jimbo la Kigoma Kaskazini, katika kata ya Mahembe ambapo Mgombea Ubunge Jimbo hilo Peter Serukamba amewalaki wapiga kurwa kwa shangwe kubwa huku wakifunga barabara na kuandamana naye.
katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni Serukamba ameahidi kutatua kero za wananchi kupitia ahadi alizoziahidi na kuomba wananchi kumpa kibali cha kuwa mwakilishi wao
MWISHO.
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: