Tazama Chumba cha Upasuaji ktk kituo cha afya Mwecau kilichowekewa Baraka na Baba Askofu
Автор: Katoliki Moshi Online Tv
Загружено: 2022-09-15
Просмотров: 427
Описание:
Tazama Chumba cha Upasuaji ktk kituo cha afya Mwecau kilichowekewa Baraka na Baba Askofu
Askofu Ludovick Joseph Minde ALCP/OSS, Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi akibariki na kufungua Chumba cha upasuaji, Chumba Cha kulaza wagonjwa na chumba cha Idara ya Meno katika kituo cha Afya cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU)
#katoliki #kanisakatoliki #katolikimoshionlinetv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: