Dr. Chris Mauki: Hivi ndivyo afya yako huathirika na stress
Автор: Chris Mauki
Загружено: 2022-11-19
Просмотров: 9877
Описание: Labda stress unazisikia tu kwa wengine, je unajua stress “msongo wa mawazo” unaweza kuathiri afya yako na hata ukapoteza maisha? Je unajua wengi waliolazwa mahospitalini na hata baadhi waliopoteza maisha sababu inaweza kuwa ni msongo wa mawazo? Nifuatilie nikuonyeshe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: