Tuna Mitazamo Tofauti Kuhusu Pesa | Robert Kiyosaki
Автор: James Atilio
Загружено: 2025-09-15
Просмотров: 906
Описание:
Je, unafikiri kama tajiri au kama maskini? 🤔
Katika video hii, tunazungumzia kwa undani Sheria ya Gresham – inavyosema “fedha mbaya zikija, fedha nzuri hujificha.”
👉 Utajifunza kwa nini matajiri wanazidi kutajirika, wakati maskini na watu wa kati wanazidi kusukumwa chini na mfumuko wa bei.
👉 Kwa nini mali halisi kama dhahabu, fedha na ardhi huendelea kupanda thamani, huku pesa ya karatasi ikipoteza nguvu kila siku.
👉 Na kwa nini mawazo yako kuhusu pesa yanaweza kukuacha maskini au kukufanya kuwa tajiri.
🔑 Angalia mpaka mwisho ujue:
Jinsi serikali zinavyoharibu pesa zako kwa kuchapisha hela mpya.
Kwa nini kununua mali halisi (dhahabu, nyumba, ardhi) ni siri ya matajiri.
Tofauti kubwa ya mawazo ya maskini vs matajiri.
#FikraZaKifedha #ElimuYaFedha #JinsiYaKuwaTajiri #Uwekezaji #Dhahabu #RealEstate #KufikiriKamaTajiri #Matajirowote #Fedha #Mindset
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: