Mgisa Mtebe - UPAKO WA PEMBE NA UPAKO WA VIKOMBE
Автор: Mwl. Mgisa Mtebe
Загружено: 2019-06-12
Просмотров: 3501
Описание: Usitekewe na karama za miujiza na unabii, hata shetani anaweza kufanya hayo. Kuna watumishi wa Mungu walio nje ya mapenzi ya Mungu, japo amewapaka mafuta, lakini sio kwa kutumia pembe, bali kwa kutumia kikombe. Ni vyombo vya Mungu, lakini si vyombo vya Heshima. Uwe mwangalifu sana, maana si kila 'mtumishi' mwenye upako na karama, yuko kwenye mapenzi ya Mungu. Kuna wenye upako na karama, lakini wameshafutwa majina yao katika kitabu cha uzima cha Mwana-kondoo. Mungu atusaidie sisi sote, tuwe na macho ya rohoni, ili tusidanganyike. Sikiliza na Ubarikiwe, and Pliz Share na wengine wengi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: