Kibibi Akasirishwa na Roy Kulewa Kazini – Huba | S14 | Ep 122–125 | Maisha Magic Bongo
Автор: Maisha Magic Bongo
Загружено: 2025-12-29
Просмотров: 9058
Описание:
Kibibi na Roy wanaanza ukurasa mpya kwa kufanya kazi pamoja kwenye club . Lakini mambo hayaendi kama alivyotarajia, kwani Roy anaonekana kulewa kazini—jambo linalomkasirisha sana Kibibi.
Katika hasira na maumivu, Kibibi anamwambia wazi kuwa hana msaada wowote… na penzi lao linaanza kuyumba .
Wakati huo huo, tunamuona Tajiri akimshauri Ritha kwa busara: ugomvi haujengi, ni muhimu kutafuta njia za hekima kupata suluhu .
Lakini je, ushauri huo utasikilizwa? Au moto wa migogoro utaendelea kuwaka
---
Endelea kutizama DStv chaneli 160
Official Website: https://bit.ly/3lXtAFc
Angalia tamthilia bora Tanzania kwa kutumia Showmax:
https://bit.ly/2KnGqyv
Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz
Instagram: / maishamagicbongo
Twitter: / maishamagictz
Facebook: / maishamagicbongo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: