KYELA:HATARI YA MAMBA KWENYE KIVUKO CHA MPOMBO MTO KIWIRA
Автор: Baharia TV
Загружено: 2022-03-13
Просмотров: 1203
Описание:
#Mamba @Bahariatv @taita_masta
Wananchi wa Nkuyu na Kilasilo wameibuka na kuitaja changamoto inayowakabili katika usafiri wa mtumbwi unaotumika kuwavusha ndani ya mto Kiwira pindi wanapohitaji huduma upande wa pili.
Wakizungumza na Baharia Tv wananchi hao wamesema wameweka rehani maisha yao kwakuvuka katika mto wenye mamba ikiwa wanatumia mtumbwi usafiri unaohatarisha maisha yao.
Hata hivyo wamiomba serikali kuwatazama kwa jicho pevu kwa kujenga kivuko katika eneo hilo kwakuwa idadi ya watu wanaovuka kwa siku ni kubwa ukilingalisha na maeneo mengine ya vivuko.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: