DAKIKA 30 NDANI YA SHAMBA LA WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA - HAPA NI ZAIDI YA CHUO KIKUU
Автор: AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Загружено: 2024-12-27
Просмотров: 67519
Описание:
Timu yetu ya #ajefarms imebahatika kufika shambani kwa aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Mizengo Kayanza Pinda (Maarufu kama MTOTO WA MKULIMA) ambapo tumepata kujifunza kwa kuona na hapa tumekuletea A-Z kuhusu uwekezaji wake katika shamba lenye kila kitu kuanzia ufugaji wa samaki,nyuki,ng'ombe,mbuzi,ndege hadi kilimo cha miembe na zabibu. Ni kasri iliyozungukwa na bustani ya Eden.
Bila shaka utapenda sana na utajifunza kupitia kipindi hiki;tafadhali SUBSCRIBE,LIKE NA SHARE video hii kabla ya kuandika maoni yako au kuuliza swali.
Tutafurahi kuona maoni yako na kupokea maswali yako hapa. Unaweza pia kutuma ujumbe kwa WhatsApp:+255 757757968 au Email: [email protected]
CHAT NA WATAALAMU WETU KWA MASAA 24 KWA KUBONYEZA LINK HII :-https://direct.lc.chat/18957423/
#MASHAMBAYANAYOTYEMBEA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: