Angalia HESLB - ALLOCATION
Автор: Lumuly lmage Photography
Загружено: 2023-10-30
Просмотров: 4138
Описание:
Fuata muongozo huu kuangalia kiasi ulichopewa katika mkopo wako. ili kujua ni asilimia ngapi chukua TU (ada) uliyopewa gawanya kwa jumla ya ada yako, kumbuka usijumuishe na fedha za usajili (direct cost) kisha zidisha kwa 100 utapata asilimia yako.
mfano.
jumla ya ada 1,260,000
ada uliyopangiwa 1,030,000
1,030,000 gawanya 1,260,000 x 100 = 81%
karibu.
0765878835
[email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: